Monday, July 30, 2012

USAFIRI WA NGAMIA NI MAARUFU KTK KUTEMBELEA TAJMAHARI

usafiri wanaotumia watalii wanaotembelea makumbusho ya ajabu miongoni mwa makumbusho ya ajabu duniani

MATEMBENZI YA MIONGONI YA MAAJABU SABA YA DUNIA KTK MJI WA DELHI-TAJMAHAR

makubusho ya tajimahar jengo ambalo walitembelea Watanzania kama sehemu ya mafunzo yao ambapo linapande tatu ambazo zote zinafanana ndani kuna kaburi km kumbukumbu ya mke wa tajmahar ambapo viongozi wengi duniani wamewahikuzulu hapa


Friday, July 20, 2012

FAHARI YA ILOLANGULU: OMBAOMBA WA CHANDIGARH WANASUMBUA

FAHARI YA ILOLANGULU: OMBAOMBA WA CHANDIGARH WANASUMBUA: Mtanzania akitoka kwenye swala ya ijumaa nchini india na kufwatwa na ombaomba waliowengi katika eneo hilo

OMBAOMBA WA CHANDIGARH WANASUMBUA

Mtanzania akitoka kwenye swala ya ijumaa nchini india na kufwatwa na ombaomba waliowengi katika eneo hilo

MAANDALIZI YA RAMADHAN YAFANA KTK MJI WA CHANDIGARH

Baadhi ya waumini wa kiislamu wakitoka msikitini leo baada ya swala ya ijumaa sector 27 wa kufanya manunuzi ya mfungo wa mwezi mtukufu nchini india

Tuesday, May 15, 2012